| |  Swahili Majeshi ya Ufaransa yatabakia Afghanistan Deutsche Welle Swahili Sarkozy alietua mji mkuu wa Afghanistan Kabul leo asubuhi,alivizuru vikosi vya Ufaransa katika kambi yao nje ya mji huo mkuu na alitoa heshima za mwisho kwa wanajeshi 10 waliouawa.Vile vile aliwatembelea hospitalini wanajeshi 21 wa Kifaransa waliojeruhiwa katika mapigano na wanamgambo wa Taliban.Akasema kazi... photo: U.S. Army/SFC Larry E. Johns Mvutano kati ya vyama vinavyounda serikali ya muungano Pakistan Deutsche Welle Swahili Viongozi wa serikali ya muungano nchini Pakistan,waliomtia kishindo rais Pervez Musharraf mpaka akajiuzulu jumatatu iliyopita,wanashindwa kusawazisha hitilafu zao za maoni kuhusu nani anastahiki kua rais na pia kuhusu suala la kurejeshwa kazini majaji waliofukuzwa na Pervez Musharraf. Viongozi wa vyama vinne vinavyounda serikali ya muungano wamekua... Usain Bolt aandika historia Deutsche Welle Swahili Mvua kali ilionyesha hii leo mjini Beijing,ilichelewesha mashindano ya riadha ya leo asubuhi . Wakati mashindano ya kutembea km 20 yalianza kwa wakati licha ya dharuba kali ya mvua,ale za kurusha mkuki zaliahirishwa hadi baadae.Mashindano za wanawake za kuruka juu/high/jump zamechelewa pia kuanya . Wajamaica lakini, wanamshangiria Ragae boy Usain... Beijing Olympiade Deutsche Welle Swahili Hata hivyo lakini Kenya inaziada ya medali nne za fedha na ni majogo wa riadha kutoka katika nchi hizo ndiyo waliwika, na bado wanatarajiwa kuwika. Kwa upande mwengine Kamati ya Kimataifa ya Olympic imesema kuwa michezo ya olimpik ya mwaka huu mpaka sasa imeweka rekodi ya... Argentina yaitambia Brazil katika Olimpiki Deutsche Welle Swahili Vyombo vya habari vya Uingereza leo vimemsifu Christine Ohuruogu kwa ushindi wake wa kushangaza katika mbio za mita 400 mjini Beijing, na kudokeza kuwa ushindi wake huo umekuwa mtamu zaidi kwa kuwa alibidi kupambana na mambo mengi kabla ya hapo. Bingwa huyo wa olimpiki mwenye umri wa miaka 24 alitumikia adhabu ya mwaka mmoja ya marufuku... Urusi yangojewa kuondosha majeshi yake Georgia Deutsche Welle Swahili Kwa mujibu wa msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Georgia,Shota Utiashvilli hakuna ishara yo yote kuwa Urusi inaondosha vikosi vyake. Badala yake,vikosi hivyo ndio vimejiimarisha katika vituo vilivyotekwa hapo awali ikiwa ni pamoja na eneo linaouzingira mji wa Gori ulioshuhudia mapigano makali. Georgia ikiituhumu Urusi kuwa inasita kuondosha... |